Habari za Punde

Milele Foundation yawasilisha mpango kazi wa miaka mitano Makangale kisiwani Pemba

 WANANCHI wa Shehia ya makangale Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa mpango kazi wa miaka mitano wa shehia yao, uliobuniwa na Milele Zanzibar Foundation (PICHA NA:ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Wilaya ya Micheweni Salama Mbarouk Khatib,  akizungumza na wananchi wa shehia ya makangale Wilaya hiyo, mara baada ya kumalizika mpango kazi shirikishi wa shehia unaosimamiwa Milele Zanzibar Foundation.(PICHA NA:ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.