Habari za Punde

Watahinia Wa Chuo Cha Mafunzo ya Amali Pemba Wakifanya Mitihani Yao.

WANAFUNZI wa Chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji Kisiwani Pemba wakiwa katika chumba cha Mitihani, wakifanya Mitihani yao ya mwisho kumalizia masoma yao ya Amali. wakiwa katika hali ya utulivu 
Picha na Abdi Suleiman - Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.