Habari za Punde

Waziri Mkuu afungua kongamano la nne la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizindua taarifa ya utekelezaji wa uwezeshaji wananchi kiuchumi, kwenye Kongamano la Nne la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, lililofanyika katika ukumbi wa Hazina jijini DodomaJuni 15.2019, kutoka kushoto ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Beng’ Issa, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri, Sera, Bunge, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista MhagamaMwenyekiti wa Baraza hilo Dk. Festus Limbu.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akihutubia wananchi na baadhi ya viongozi wa serikali,kwenye Kongamano la Nne la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, lililofanyika katika ukumbi wa Hazina jijini Dodoma


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, wakati akiwasili, katika ukumbi wa Hazina jijini DodomaJuni 15.2019, kwenye Kongamano la Nne la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, katikati ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Beng’I Issa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.