Habari za Punde

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Hamad Masauni Waongoza Wananchi Katika Maziko ya DCP Azizi Juma Makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar mchana huu.

Waziri Nchi Ofisi  ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Tanzania Mhe. Hamad Yussuf Masauni na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Kamishna wa Polisi Zanzibar na Wananchi wa maeneo ya Zanzibar wakishiriki katika maziko ya Marehemu DCP wa Jeshi la Polisi Marehemu Azizi Juma Mohammed katika makaburi ya mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi B Unguja katika maziko hayo yaliofanyika baada ya Sala ya Adhuhuri.
Mamia ya Wananchi wa Zanzibar wakishiuriki katika maziko ya DCP wa Jeshi la PolisiNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.