Habari za Punde

Maandalizi ya Utanuzi wa Barabara ya Fuoni Hadi Kibonde Mzungu Yameaza.


Wananchi wa eneo la fuoni wakiwa katika zoezi la kubomoa Nyumba zao kupisha Utanizi wa barabara hiyo unaoazia katika barabara ya Fuoni hadi Kibonde mzungu kuunganishwa kwa dara hilo kuweka sawa eneo hilo na kuunganisha barabara inoyotokea Mwanakwerekwe. 
Kama inavyoonekana picha zoezi hilo likiendelea kwa Wananchi wa eneo hilo kuaza kubomoa nyumba zao ili kupisha Ujenzi huo unaotarajiwa kuaza hivi karibuni 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.