WAZIRI wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Dkt Sira Ubwa
Mwamboya, akiwapungua mkono wafanyakazi wa AAKIA Unguja, wakati wa maandamano
maalumu ya kuadhimisha miaka nane ya mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar,
huko katika uwanja wa Michezo Gombani
VIONGOZI wa Brasband ya Chipkizi Kisiwani
Pemba, wakitoa heshima zao mbele ya mgeni Rasmi, wakati wa maandamano ya hiyari
katika maadhimisho ya miaka nane ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar, huko
katika uwanja wa Michezo Gombani
WAZIRI wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Dkt Sira Ubwa
Mwamboya, akipatiwa maelezo kutoka kwa Slimu Said Abdalla, juu ya miongozo
wanayoifuata katika uwanja huo, wakati alipotembelea maonyesho maalumu, wakati
wa maadhimisho ya miaka nane ya mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar, huko
katika uwanja wa Michezo Gombani.
WAZIRI wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Dkt Sira Ubwa
Mwamboya, akipatiwa malezo juu ya mikataba inayofuatwa na uongozi wa Uwanja wa
Ndege wa AAKIA Unguja kutoka kwa mkuu wa Ulinzi Haji Makame Haji, wakati wa
maadhimisho ya miaka nane ya mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar, huko katika
uwanja wa Michezo Gombani
WAZIRI wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Dkt Sira Ubwa
Mwamboya, akipatiwa malezo juu ya utaratibu wa mgeni anapofika katika uwan jaw
a Ndege na kupita katika eneo maalumu la Ukaguzi, kutoka kwa Mkuu wa kitengo
cha ulinzi uwanja wa Ndege wa AAKIA Haji Makame Haji, wakati wa maadhimisho ya
miaka nane ya mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar, huko katika uwanja wa
Michezo Gombani
WAZIRI wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Dkt Sira Ubwa
Mwamboya, akipatiwa maeleozo juu ya vitu ambavyo abiria wakati wakusafiri
hapaswi kupita navo katika uwanja wa Ndege, kutoka kwa mkuu wa idara ya Ulizi
Haji Makame Haji wakati maadhimisho ya miaka nane ya mamlaka ya Viwanja vya
Ndege Zanzibar, huko katika uwanja wa Michezo Gombani
WAZIRI wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Dkt Sira Ubwa
Mwamboya, akipatiwa zawadi maalumu kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa Mamlaka
wa Viwanja vya Ndege Zanzibar, wakati wa maadhimisho ya miaka nane ya mamlaka
ya Viwanja vya Ndege Zanzibar, huko katika uwanja wa Michezo Gombani
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya
Ndege Zanzibar Said Iddi, akizungumza wakati wa maadhimisho ya kutimiza miaka
nane ya mamlaka ya viwanja vya ndege Zanzibar, huko katika uwanja wa michezo
Gombani
WAZIRI wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Dkt Sira Ubwa
Mwamboya, akizungumza n wananchi na wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege
Zanzibar, wakati wa maadhimisho ya kusheherekea miaka nane ya viwanja hivyo
hiko katika uwanja wamichezop Gombani
WAZIRI wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Dkt Sira Ubwa
Mwamboya, akimkabidhi zawadi mmoja ya wafanyakazi bora wa mamlaka ya viwanja
vya Ndege Pemba, huko katika uwanja wa michzo Gombani
MKUU wa Mkoa wa Kakskazini Pemba
Omra Khamis Othaman, akitoa neno la shukuran wakati wa maadhimisho ya miaka
nane ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar, huko katika uwanja wamichezo
Gombani.
Picha na Abdi Suleiman - Pemba.
No comments:
Post a Comment