Habari za Punde

RAIS CYRIL RAMAPHOSA WA AFRIKA KUSINI AWASILI NCHINI KWA ZIARA RASMI YA SIKU MBILI

Rais Cyril Ramaphosa na mkewe Dkt. Tshepo Motsepe wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius  Nyerere jijini Dar es salaam usiku huu. Rais Ramaphosa amewasili kwa ziara rasmi ya siku mbili nchini kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Maendeleo  ya Kusini kwa Afrika SADC
Rais Cyril Ramaphosa akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius  Nyerere jijini Dar es salaam usiku huu. Rais Ramaphosa amewasili kwa ziara rasmi ya siku mbili nchini kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini kwa Afrika SADC
Rais Cyril Ramaphosa akipeana mikono  na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius  Nyerere jijini Dar es salaam usiku huu. Kushoto ni Kamanda wa Kanda Mazlumu ya Kipolisi ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa. Rais Ramaphosa amewasili kwa ziara rasmi ya siku mbili nchini kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Maendeleo  ya Kusini kwa Afrika SADC

Rais Cyril Ramaphosa akipokewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius  Nyerere jijini Dar es salaam usiku huu. Rais Ramaphosa amewasili kwa ziara rasmi ya siku mbili nchini kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini kwa Afrika SADC

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.