Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Mwakilishi wa UNESCO Tanzania.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwakilishi wa Shirika la UNESCO Tanzania Bw.Tirso  Dos Santos (katikati) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kujitambulisha  (kushoto) Mathias F.H.Luhanya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza  Mwakilishi wa Shirika la UNESCO Tanzania Bw.Tirso  Dos Santos (kushoto) wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na  Mwakilishi wa Shirika la UNESCO Tanzania Bw.Tirso  Dos Santos (kushoto) baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.