Meneja wa Wateja Maalum wa kampuni ya Zantel,Deogratias Shio (katikati ) akiwa na washindi wa wiki kupitia kampeni ya MSAKO TIME muda mfupi baada ya kuwakabidhi zawadi za simu janja ambazo wamejishindia
Washindi wa MSAKO TIME wanapatikana baada ya kujibu maswali redioni au kuweka picha kwenye kurasa za Facebook na Instagram. Kampeni ya MSAKO TIME inawawezesha wateja kutumia intaneti kwa saa moja kila siku.
No comments:
Post a Comment