Habari za Punde

CUF Wakabidhi Vifaa Vya Michezo Vijana wa Tawi la Chonga Chakechake Pemba.

NAIBU Mkurugenzi Habari na Uenezi wa Chama cha Wananchi (CUF) Ndg.Mbarouk Seif  Salim, akimkadhi mipira miwili Ndg.Mohammed Ali kwa niaba ya vijana wa Chama hicho, tawi la Chonga katika Wilaya ya Chake Chake Pemba.
 (Picha na Said Abdulrahaman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.