6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya KMKM na Jangombe Boys, Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya KMKM Imeshinda Mchezo huo Bao 1-0.

Mshambuliaji wa Timu ya Jangombe Boys.Yakoub Amour akijaribu kuzuia mpira na Beki wa Timu ya KMKM Hafidh Mohammed akijiandaa kumzuiya, wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya KMKM imeshinda mchezo huo kwa bao.1-0.













Post a Comment

0 Comments