Habari za Punde

Uzinduzi wa Kongamano la Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya Zanzibar Lafanyika Kisiwani Pemba.

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar Mohamed Aboud Mohamed, akifungua kongamano la siku moja la kupiga vita matumizi na usafirishaji wa dawa za kulevya Zanzibar, lililoandaliwa na Tume ya Kitaifa ya kuratib na Udhibiti wa dawa za kulevya, kutoka Ofisi ya Mkamu wa Pili wa Rais, lililofanyika katika ukumbi wa Makonyo Wawi Chake Chake Pemba
WASHIRIKI wa Kongamano la siku moja la kupiga Vita matumizi na usafirishaji wa dawa za kulevya Zaznibar, wakifuatilia kwa makini kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Makonyo Wawi Chake Chake Pemba.
AFISA Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Pemba, Ali Salum Matta, akizungumza katika kongamano la kupiga Vita matumizi na usafirishaji wa dawa za kulevya Zaznibar, wakifuatilia kwa makini kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Makonyo Wawi Chake Chake Pemba.
MKURUGENZI Mtendaji wa Tume ya Kitaifa ya kuratib na udhibiti wa Dawa za Kulevya Zanzibar, Heriyangu Mgeni Khamis akizungumza wakati wa kongamano la kupiga vita matumizi na usafirishaji wa dawa za kulevya Zanzibar,lililofanyika katika ukumbi wa Makonyo Wawi Chake Chake Pemba
WASANII kutoka Kikundi cha Sanaa cha Jufe Filim Prodaction cha Wete, wakiongozwa na Mohamed Kombo (Mwinyi Mpeku) wakionyesha igizo lao juu ya athari za dawa za kulevya kwa jamii, wakati wa kongamano la  kupiga vita matumizi na usafirishaji wa dawa za kulevya Zanzibar,  lililofanyika katika ukumbi wa Makonyo Wawi Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.