Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Azungumza na Ujumbe wa Chama Cha Kikominist cha China (CPC ) Ikulu Zanzibar leo. mWENYEKITI WA bARAZA LA mAPINDUZI mHE.dK. aLI mOHAMED sHEIN aZUNGUMZA NA uJUMBE WA cHAMA cxHA cpc

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na mgeni wake Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha  Kikomunisti cha China (CPC) Nd,Guo Yezhou akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha  Kikomunisti cha China (CPC)Nd,Guo Yezhou (wa tatu kulia) akiwa na Ujme aliofuatana nao wakati walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha  Kikomunisti cha China (CPC) Nd,Guo Yezhou (kushoto) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akimsikiliza  mgeni wake Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha  Kikomunisti cha China (CPC)Nd,Guo Yezhou (kushoto) wakati wa mazungumzo yao leo akiwa na ujumbe wake  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake   Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha  Kikomunisti cha China (CPC) Nd,Guo Yezhou, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar  akiwa na Ujumbe wake

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.