Habari za Punde

Watumishi wa Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba Wapatiwa Elimu ya Sheria ya Utumishi wa Umma.


OFISA Mdhamini Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba, Fatma Hamad Rajab akizungumza na wafanyakazi wa wizara hiyo, huko katika ukumbu wa uwanja wa michezo Gombani Chake Chake Pemba.
AFISA Utumishi Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba, Ndg.Mohammed Kombo akiwaonyesha baadhi ya sheria za utumishi wa umma wafanyakazi wa wizara hiyo, ambazo wanatakiwa kuzifata katika utendaji wao wa kazi, wakati wa mkutano uliofanyika Gombani Chake Chake .
BAADHI ya wafanyakazi wawizara ya vijana utamaduni sanaa na michezo Pemba, wakifuatilia kwa makini mafunzo ya utumishi kwa wafanyakazi hao, yaliyotolewa na wizara yao huko Gombani .(Picha na Abdi Suleiman)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.