Habari za Punde

Naibu Waziri wa Mhe. Masauni Afanya Ziara Kutembelea Gereza la Kitao Mkoani Ruvuma.


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisalimiana na Maafisa wa Jeshi la Magereza baada ya kufika katika Gereza la Kitai.Naibu Waziri yuko mkoani Ruvuma kutembelea shamba la gereza hilo ambalo ni moja kati ya mashamba kumi ya magereza  nchini yaliyoteuliwa  kutekeleza agizo la Rais Dkt. John Magufuli la kutaka magereza yajitosheleze kwa chakula cha wafungwa.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.