Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Shein Azungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Dimani Kichama

 MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzia na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Dimani Kichama Ndg.Hussein Ali Mgema (Kimti) kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar. Dr, Abdalla Juma Sadala, wakati akiwasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani kwa ajili ya mkutano wake na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Dimani leo 17-11-2019
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasalimia Wananchi wakati akiwasili katika viwanja vya Afisi  ya CCM Mkoa wa Mjini Amaniu Zanzibar leo 17-11-2019 kuzungumza na Wazee wa Wilaya ya Dimani Kichama
KATIBU wa CCM Wilaya ya Dimani Ndg.Yussuf Ramadhani Abdalla akiwasilisha Taarifa fupi ya Wazee wa CCM, wakati wa mkutano wao na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjiniu Amani
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Taarifa ya Wazee wa Wilaya ya Dimani Kichana na Katibu wa CCM Wilaya ya Dimani Ndg. Yussuf Ramadhani Abdalla na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr, Abdalla Juma Sadala Mabodi wakati wa hafla ya mkutano wake na Wazee uliofanyika leo 17-11-2019 katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr, Abdalla Juma Sadala Mabodi akizungumza wakati wa hafla ya mkutano na Wazee wa CCM Wilaya ya Dimani Kichama uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM  Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wazee wa CCM wa Wilaya ya Dimani Kichama katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar, (kushoto kwa Rais)Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi  na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Dimani Kichama Ndg.Hussein Ali Mgema
 ////WAZEE wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Dimani Kichama wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa mkutano huo uyliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.