Muonekano wa eneo la michezo mbalimbali katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar. hutembelewa na Wananchi na Watoto kupata burudani ya michezo ilioko katika katika eneo hilo.
WATUMISHI KARIAKOO WAPEWA MKONO WA SHUKURANI SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA,
WAHIMIZWA KUENDELEA KUWAJIBIKA.
-
Shirika la Masoko ya Kariakoo limetoa zawadi za Sikukuu za Krismasi na
mwaka mpya kwa watumishi wake ikiwa ni sehemu ya motisha kwa utendaji kazi
wao mzuri...
2 hours ago
0 Comments