Mkurugenzi wa Taasisi ya Samael Academy Pemba akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Nchini Oman, walipofika kutembelea Kituo cha Watoto Yatima na kukabidhi msaada wa fedha kwa ajili ya kituo hicho.
Picha kwa Hisani ya Taasisi ya Samael Pemba.
No comments:
Post a Comment