Habari za Punde

Matukiuo ya Picha Kutoka Kisiwani Pemba.

Vijana wakiwa katika kazi za Kijamii ya mapishi ya Vyakula vya asili hupatikana katika maeneo mengi ya Visiwa vya Unguja na Pemba, kama walivyokutwa na mpiga picha wetu katika Kiji cha Kangagani wakiwa katika kazi ya kufanya vipopo hutumika sana katika kipindi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Wananchi ikiwa moja ya futari.
KAZI ya ujengaji wa baadhi ya madaraja katika barabara ya Ole Kengeja ikiwa inaendelea, pichani mafunzo kutoka Idara ya UUB Pemba wakiunganisha na kupanga nodo katika moja ya madara yaliyomo kwenye nja hiyo kama walivyo kutwa na mpiga picha.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.