Habari za Punde

Mchezo wa bao - akinamama nao wamo siku hizi

TUMEKUWA tukishudia kwa muda mrefu mchezo wa bao ukichezwa sana na wanaume, lakini katika miaka ya hivi karibuni mambo yamebadilika mchezo huo hata wanawake wanacheza, kama walivyokutwa na mpiga picha wetu.(PICHA NA ABDI SUELIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.