Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja
na Mkewe Mama Janeth Magufuli wamejumuika pamoja na waumini wengine wa Kanisa
Kuu la Epifania Parokia ya Bugando jijini Mwanza katika Misa Takatifu ya Dominika ya pili ya
Majilio iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Mhashamu
Renatus Nkwande leo tarehe 8/12/2019.
Askofu
Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Mhashamu Renatus Nkwande akihubiri katika
Misa Takatifu ya Dominika ya pili ya Majilio iliyofanyika katika Kanisa Kuu la
Epifania Parokia ya Bugando jijini Mwanza
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikusanya Sadaka ya
Ujenzi wa Kanisa katika Misa Takatifu ya Dominika ya pili ya Majilio
iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Epifania Parokia ya Bugando jijini Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na waumini wa Kanisa Kuu la
Epifania Parokia ya Bugando jijini Mwanza
katika Misa Takatifu ya Dominika ya pili ya Majilio iliyoongozwa na
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Mhashamu Renatus Nkwande leo
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Mhashamu Renatus Nkwande leo
tarehe 8/12/2019.
No comments:
Post a Comment