LICHA ya kuongezwa kwa siku 20 za nyongeza kwa ajili ya usajili walaini za simu za mkononi nchini Tanzania, wananchi wamehamasika kwa wingi kusajili laini zao katika miemvuli mbali mbali katika mji wa chake chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
DK.SAMIA AUHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI UVINZA AKIELEZEA MIRADI YA MAENDELEO
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Uvinza
MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM)Rais Dk.Samia SuluhHassa
ameendelea kuchanja mbuga akisaka kura kueleke...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment