Habari za Punde

Waandishi wa Habari za Mazingira Wamaliza Mafunzo Yao Jijini Dodoma.

MKUFUNZI wa mafunzo ya Habari za  mazingira nchini Tanzania, ambaye ni mwandishi wa habari Mwandamizi Ndg.Deodatus Mfugale (Katikati mwenye suti), akiwakabidhi zawadi kundi namba moja katika kazi za darasani, wakati wa mafunzo ya uwandishi wa habari za mazingira nchini Tanznaia.
MWANACHAMA wa Mbeya Press Club Asha akipatiwa cheti cha uhitimu wa mafunzo ya Habari za Mazingira yaliyoandaliwa na Umoja wa vilabu vya waandishi wa habari nchini Tanzani (UTPC) yaliyofanyika Mkoani Dodoma. 
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, DODOMA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.