Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho
kutoka kwa Balozi wa Ureno hapa nchini mwenye makazi yake nchini Msumbiji Maria
Amelia Maio De PAIVA katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi
wa Singapore hapa nchini mwenye makazi yake Singapore Douglas Foo Peow Yong mara baada ya kuwasilishha Hati zake za
utambulisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Singapore hapa nchini mwenye makazi yake Singapore Douglas Foo Peow Yong mara baada ya kuwasilishha Hati zake za utambulisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho
kutoka kwa Balozi wa Ufilipino hapa nchini mwenye makazi yake nchini Kenya Alex Chua katika hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment