Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli Amewaapisha Mabalozi Wateule 4 Ikulu Jijini Dar es Salaam leo January 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi mteule Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Milanzi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika kusini. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dare s salaam leo.Januari14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Milanzi mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika kusini. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi mteule Dkt. Modestus Francis Kipilimba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Namibia. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dares salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini hati ya kiapo ya Mhe. Balozi Dkt. Modestus Francis Kipilimba baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Namibia. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dares salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi mteule Prof. Emmanuel David Mwaluko Mbennah kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dares salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Mhe. Balozi Prof. Emmanuel David Mwaluko Mbennah mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi mteule Dkt. Benson Alfred Bana kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshuhudia Mhe. Balozi Dkt. Benson Alfred Bana akitia sahihi hati ya kiapo mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dares salaam
 RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Dkt. John PombeMagufuliakishuhudiaMabaloziwapyawakilakiapo cha maadilikwawatumishiwaUmmambeleyaKamshnawaMaadiliJajiMstaafuHaroidNsekelamarabaadayakuwaapishakuwaikilisha Tanzania katikanchiwalizopangiwa. HaflailiyofanyikaIkuluJijini Dares salaam
Mabaloziwapyawakilakiapo cha maadilikwawatumishiwaUmmambeleyaKamshnawaMaadiliJajiMstaafuHaroidNsekelahukuRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Dkt. John PombeMagufuli (hayupopichani) akishuhudiamarabaadayakuwaapishakuwaikilisha Tanzania katikanchiwalizopangiwa . HaflailiyofanyikaIkuluJijini Dares salaam
RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Dkt. John PombeMagufuliakizungumzabaadayakuwaapishaMabaloziwapyawannewalioteuliwakuwaikilisha Tanzania katikanchimbalimbaliwalizopangiwa . HaflailiyofanyikaIkuluJijini Dares salaam
 RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Dkt. John PombeMagufuliakiwakatikapichayapamojanaMakamuwaRaisMhe. SamiaSuluhu Hassan, WaziriMkuuMhe. KassimMajaliwapamojanaMabaloziwapyawannewalioteuliwakuwaikilisha Tanzania katikanchimbalimbaliwalizopangiwamarabaadayakuwaapishaIkuluJijini Dares salaam.

RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Dkt. John PombeMagufuliakiwakatikapichayapamojanaMabaloziwapyawannewalioteuliwakuwaikilisha Tanzania katikanchimbalimbaliwalizopangiwamarabaadayakuwaapishaIkuluJijini Dares salaam.Januari14, 2020
PichanaIkulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.