Inna liyllahi wainna ilayhi rajioun - Jaji wa Mahakama Kuu Zanzibar Mkusa Isack Sepetu Afariki Dunia na Kuzikwa leo Kijijini Kwao Mbuzini Wilaya ya Magharibi "A"Unguja
Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar,Mhe Jaji Mkusa Isack Sepetu amefariki dunia asubuhi ya leo katika hospitali ya Mnazi Mmoja alipokuwa akipatiwa matibabu. Maziko yatafanyika leo Kijiji kwa Mbuzini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja majira ya saa kumi jiuoni leo Marehemu Jaji Sepetu anatarajiwa kuzikwa leo saa 10 jioni kijijini kwao Mbuzini.
0 Comments