Habari za Punde

MASAUNI ATEMBELEA SHAMBA LA GEREZA KUU ARUSHA

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni,akikagua shamba la mahindi la Gereza Kuu Arusha ambalo ni moja kati ya magereza kumi ya kimkakati yaliyoteuliwa na Serikali kutekeleza agizo la Rais Dkt.John Magufuli la kutaka Jeshi la Magereza kujitegemea kwa chakula cha wafungwa.Kushoto ni Afisa Kilimo wa gereza hilo,Ayub Mahay.Ziara hiyo imefanyika leo jijini Arusha.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni,akizungumza na Afisa Kilimo wa Gereza Kuu la Arusha,Ayub Mahay(katikati) walipotembelea shamba la  mahindi la gereza hilo  ambalo ni moja kati ya magereza kumi ya kimkakati yaliyoteuliwa na Serikali kutekeleza agizo la Rais Dkt.John Magufuli la kutaka Jeshi la Magereza kujitegemea kwa chakula cha wafungwa.Ziara hiyo imefanyika leo jijini Arusha
Afisa Kilimo wa Gereza Kuu Arusha ,Ayub Mahay akitoa maelezo kwa  Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni, walipotembelea shamba la  mahindi la gereza hilo  ambalo ni moja kati ya magereza kumi ya kimkakati yaliyoteuliwa na Serikali kutekeleza agizo la Rais Dkt.John Magufuli la kutaka Jeshi la Magereza kujitegemea kwa chakula cha wafungwa.Ziara hiyo imefanyika leo jijini Arusha.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.