Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Kipanga na Zimamoto Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu Hizo Zimetoka Sare Bila ya Kufungana 0-0.

Beki wa Timu ya Zimamoto akijiandaa kumuliki mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar .Timu hizo zimetoka sare ya Bila kufungano 0-0.


 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.