Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na na viongozi wengine akikata utepe kuzindua jengo la Mkuu wa Wilaya hiyo baada ya kulifungua rasmi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda baada ya kuzindua rasmi jengo la Mkuu wa Wilaya hiyo leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Wilaya ya Kigamboni Bw.Ng'ulwabuzu Ludigija akimpa maelezo kuhusu ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Wilaya hiyo baada ya kulifungua rasmin.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Naibu Waziri wa Afya Mhe. Faustine Ndugulile wakiwea saini vitabu vya wageni katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni MheSarah Msafiri na viongozi wengine baada ya kulifungua rasmi jengo la ofisi hizo leo Jumanne Februari 11, 2020. Waliosimama ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda na Mkurugenzi wa Wilaya ya
Kigamboni Bw. Ng'ulwabuzu Ludigija
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe Sarah Msafiri na viongozi wengine baada ya kuzindua jengo la Mkuu wa Wilaya hiyo baada ya kulifungua rasmi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Mhe. Sarah Msafiri akiwa na Mkurugenzi wa Wilaya ya Kigamboni Bw. Ng'ulwabuzu Ludigija na viongozi wengine baada ya kufungua rasmi jengo la Halmashauri ya Wilaya hiyo baada ya kulifungua rasmi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe Sarah Msafiri na viongozi wengine baada ya kuzindua jengo la Mkuu wa Wilaya hiyo baada ya kulifungua rasmi
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment