Habari za Punde

Ufungaji wa Mafunzo ya Vikosi Vya SMZ Kozi ya 03 Viwanja Vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, Mhe.Haji Omar Kheri, akikagua gwaride maalum la  Vikosi vya SMZ, ikiwa ni ufungaji wa kozi ya 03 kwa Vikosi hivyo hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar. 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, Mhe.Haji Omar Kheri, akipokea heshima kwa askari wa Vikosi vya SMZ, wakati wa ufungaji wa kozi ya 03 kwa Vikosi hivyo hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama  wakiimba wimbo maalum wa Mashujaa wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo ya Kozi ya 03, kwa Vikosi hivyo yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri akiwa na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakiimba wimbo wa Mashujaa wakati wa hafla ya Ufungaji wa Mafunzo ya Kozi ya 03 iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
Askari wa Gadi ya kwanza wakipita kwa mwendo wa polepole  mbele ya jukwaa kuu la mgeni rasmin Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, Mhe.Haji Omar Kheri wakati wa ufungaji wa mafunzo ya kozi ya 03 kwa Vikosi hivyo hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Maisara
ASKARI wa Vikosi vya SMZ wakipita kwa mwendo wa haraka mbele ya mgeni rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serekali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, Haji Omar Kheri wakati wa ufungaji wa kozi ya 03 kwa Vikosi hivyo hafla iliofanyika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serekali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, Haji Omar Kheri, akimkabidhi cheti cha kumaliza mafunzo ya Kijeshi Kambi ya Kama, askari Hamid Hamid Mohamed, kwa niaba ya askari wote waliopata mafunzo katika Kambi hiyo
WANANCHI mbalimbali waliokuja kuangalia vijana wao waliomaliza mafunzo ya kozi ya 03 kwa Vikosi vya SMZ, hafla iliofanyika viwanja vya Maisara
 (PICHA NA ABDALLA OMAR).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.