Habari za Punde

Vikundi vya Uhamasishaji Vya Uzi City na Kajengwa Watia Fora Uzinduzi wa Micuano ya Yamleyamle ZBC Cup Uwanja wa Amaan Jiji Zanzibar. Mchezo wa Ufunguzi wa Ngao ya Hisani.

Wapenzi wa Timu ya Kajengwa kutoka Mkoa wa Kusini Unguja wakishangilia Timu yao wakati wac mchezo wa Ufunguzi wa Micuano ya Kombe la ZBC Yamleyamle Cup. uliofanyika Uwanja wa Amaan, uliozikutanisha Timu ya Uzi City  na Kajengwa. Mchezo huo Timu ya Kajengwa imebeka Ngao hiyo ya Hisani ya Ufunguzi wa michuano hiyo kwa kuwafunga Uzi City kwa mabao 3-1, mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya Uzi City ni Mabingwa wa Kombe hilo la Yamleyamle Cup 2018/2019.
Michuano hiyo itaaza rasmin mwezi ujao katika uwanja wa magirisi. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.