Mwakilishi Mkaazi Wa Shirika La Afya Duniani (Who) Zanzibar Dkt. Andemichael Ghirmay akiukaribisha ujumbewa wa UN kwa Waziri wa Afya Zanzibar walipofika Ofisini kwake pamoja na kutoa maelezo kuhusu juhudi zinazochukuliwa na Serikali katika kuimarisha huduma za Afya Zanzibar.
KATIBU MKUU CCM DK. MIGIRO AUNGURUMA DAR… ATOA MAELEKEZO UTOAJI MAELEKEZO
-
-Pia azungumzia nguvu ya wanachama walioko katika mashina,matawi
-Asisitiza nafasi ya wazee katika kutoa elimu ya itikadi kwa vijana
KATIBU Mkuu wa Chama C...
1 hour ago
0 Comments