Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar akizungumza na Waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar na kutowa tahadhari kwa Wananchi na Jamii kwa kuhusiana na Virusi vya maradhi ya Corona, wafuate maelekezo ya kujikinga na kuepusha mikusanyiko isiyo kuwa ya lazima.
FUKUO LA KUFUKUA MAAJABU YA NGORONGORO LAFUKULIWA
-
Waswahili husema "Dunia ni jumba la maajabu " Ngorongoro haiishiwi maajabu
, Ni kama vile lile fukuo la kufukulia maajabu ndani ya hifadhi ya eneo la
Ng...
6 hours ago
0 Comments