Habari za Punde

CORONA-TAHADHARI YA KUJIKINGA NA UGONJWA WA HOMA YA MAPAFU


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akinawa mikono kwa maji maalumu yaliyowekwa dawa   alipotembelea Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Mpwapwa,mkoani Dodoma ikiwa ni kufuata maelekezo yaliyotolewa na wataalamu wa afya katika kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Covid-19.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.