Mradi wa uwekaji wa Taa za barabarani katika barabara mbalimbali za Mkoani, Chakechake na Wete Pemba ukiendelea na uwekaji wa taa hiuzo kama wanavyoonekana Mafundi wa Kampuni ya Osaju Ltd, wakiendelea na zoezi hilo la uwekaji wa taa hizo katika Wilaya ya Mkoani eneo la barabara ya Changawini Mkoni Pemba.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
No comments:
Post a Comment