Muonekano wa Mpya wa Hoteli ya Mkoani baada ya kufanyika matengenezo makubwa kubadilisha ujenzi wa awali na kuongeza ghorofa kupitia Mradi huo wa ZSSF. Kama inavyoonekana pichani ikiwa katika hatua za mwisho za ujenzi huo, kukamilika kwake na kutowa huduma kwa Wageni wanaofika Kisiwani Pemba.
Muonekano Mpya wa Hoteli ya Mkoani kwa nyumba baada ya kukamiulika matengenezo ya ujenzi huo .
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)
No comments:
Post a Comment