Habari za Punde

SIMBACHAWENE AKUTANA NA MWAKILISHI MKUU WA UNHCR NCHINI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza masuala mbalimbali yanayohusu wakimbizi na Mwakilishi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) nchini, Antonio Canhandula (kulia), wakati mwakilishi huyo alivyofika ofisini kwa waziri, jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akimsindikiza  Mwakilishi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) nchini, Antonio Canhandula (kulia), baada ya kumaliza mazungumzo mbalimbali yaliyohusu wakimbizi wakati mwakilishi huyo alivyofika ofisini kwa waziri, jijini Dodoma.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.