Habari za Punde

Makamu wa Rais Mama Samia amuwakilisha Rais Dkt Magufuli katika mazishi ya Marehemu Balozi Augustine Mahiga

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye Mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi Augustine Mahiga alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli yaliyofanyika katika kijiji cha Tosamaganga Mkoani Iringa.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka Mchanga  kwenye Kaburi  la  aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi Augustine Mahiga wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika katika kijiji cha Tosamaganga Mkoani Iringa, Makamu wa Rais alimuwakilisha  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli kwenye Mazishi hayo.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka Shada la Maua  kwenye Kaburi  la  aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi Augustine Mahiga wakati  wa Mazishi yake yaliyofanyika katika kijiji cha Tosamaganga Mkoani Iringa, Makamu wa Rais alimuwakilisha  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli kwenye Mazishi hayo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimfariji Dada wa Marehemu  Balozi Dkt. Augustine Mahiga  Bibi Rustica Mahiga Baada ya Mazishi ya hayo  yaliyofanyika katika kijiji cha Tosamaganga Mkoani Iringa, Makamu wa Rais alimuwakilisha  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli kwenye Mazishi hayo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.