Habari za Punde

Kada wa CCM wa Sita Waziri Kiongozi Mstaaf Mhe. Shamsi Vuai Nahodha Achukuwa Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar

Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo akimkabidhi Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar katika CCM Waziri Kiongozi Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Shamsi Vuai Nahodha,hafla hiyo ya uchukuaji fomu iliofanyika katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi Waziri Kiongozi Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Shamsi Vuai Nahodha akipata maelezo  ujazaji wa fomu hiyo wakati wa kutafuta wadhamini na kulia Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo ,hafla hiyo ya uchukuaji fomu iliofanyika katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.