Habari za Punde

Mama Samia ashiriki kuhitimishwa kwa Bunge la 11 Dodoma


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Juni 16,2020 ameshiriki Shughuli  ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhitimisha Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bungeni Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.