Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Ahutubia Baraza Mkutano wa Baraza la Tisa na Kulivunja Rasmin Leo Jijini Zanzibar.a T

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein. akikagua gwaride maalum la Kikosi cha FFU katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani Jijini Zanzibar leo, 20-6-2020, wakati wa hafla ya uvunjaji wa Baraza la Wawakilishi leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akia amesimama wakati ukipingwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya kuaza kwa Mkutano wa uvunjaji wa Baraza la Wawakilishi (kulia kwa Rais) Mama Mwanamwema Shein na (kushoto kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe. Zuberi Ali Maulid

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia katika Mkutano wa Baraza la  Tisa la Wawakilishi kabla ya kulivunja rasmin leo katika ukumbi wa mkutano wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Jijini Zanzibar. hafla hiyo imefanyika leo 
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akilihutubia kabla ya kulivunja rasmin leo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mkutano wa Baraza.
WAZIRI Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge la Tanzania.Mhe Job Ndugai na Jaji Mkuu wa Zanzibar. Mhe. Omarv Othman Makungu wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo ;pichani) wakati akilihutubia Baraza la Wawakilishi na kulivunja rasmin leo 20/6/2020, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Baraza Chukwani Jijini Zanzibar.
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wa kwanza Mhe. Jaku Hashim Ayoub akiwa na wajumbe wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akihutubia hafla hiyo ya uvunjaji wa Baraza la Wawakilishi uliofanyika leo katika ukumbi wa mkutano Chukwani Jijini Zanzibar
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Mhe Said Hassan Said na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, wakifuatilia hutuba ya uvunjaji wa Baraza la Tisa la Wawakilishi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akihutubia kabla ya kulivunja Baraza leo katika ukumbi wa Baraza Chukwanin Jijini Zanzibar
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akilihutubia kabla ya kulivunja rasmin leo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mkutano wa Baraza.

WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akilihutubia kabla ya kulivunja rasmin leo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mkutano wa Baraza.
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akilihutubia kabla ya kulivunja rasmin leo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mkutano wa Baraza.
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akilihutubia kabla ya kulivunja rasmin leo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mkutano wa Baraza.(Picha na Ikulu)

WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akilihutubia kabla ya kulivunja rasmin leo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mkutano wa Baraza.
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akilihutubia kabla ya kulivunja rasmin leo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mkutano wa Baraza.

WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akilihutubia kabla ya kulivunja rasmin leo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mkutano wa Baraza.
BAADHI ya Mabalozi Wadogo Wanaofanyika Kazi zao Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) akihutubia na kulivunja rasmin Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mkutano wa Baraza Chukwani Jijini Zanzibar

WAGENI Waalikwa kutoka Taasisi ya Fedha Zanzibar wakifuatila hutuba ya Uvunjaji rasman wa Baraza la Tisa la Wawakilishi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akihutubia na kulivunja rasmin Baraza leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa zawadi ya Kitabu Maalum cha  Miswada ya Sheria na Picha ya Jengo la Baraza la Wawakilishi Zanzibar, na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid, baada ya hafla ya kulivunja rasmin Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Baraza Chukwanin Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikabidhiwa zawadi Maalum ya Kitabu cha Miswada ya Sheria iliyopitishwa na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid baada ya kumalizika kwa mkutano wa uvunjaji wa Baraza la Wawakilishi uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Baraza

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.