Habari za Punde

Uvuvi wa Ngarawa bado waendelea visiwani


Pichani ni wavuvi ambao walionekana kwenye ngarawa yake  wakielekea kazini. 
Bado uvuvi wa asili kwa kutumia ngarawa ya tanga unaendelea visiwani Zanzibar.

Kuvua kwa njia ya ngarawa ya tanga ambayo hutegemea upepo una gharama ndogo kuliklo kuwa na boti ya mashine ambayo huhitaji mashine, mafuta pamoja na matengenezo wakati ngarawa huhitaji upepo tu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.