WAZIRI wa Kilimo, Maliasili Mifugo na Uvuvi, Mmanga Mjengo Mjawiri, wa pili (kulia) akikibidhi vihori, kwa wakulima wa zao la mwani Mkoa wa Kaskazini Unguja, ikiwa ni ahadi ya Serikali kuwasaidia wakulima hao ili waeze kulima mwani wenye ubora katika maji ya bahari kina kirefu (PICHA NA ABDALLA OMAR).
MKUU wa Wilaya ya Kaskazini ‘A’ Unguja, Hassan Ali Kombo, akitoa nene la shukurani kwa Serikali, baada ya kukabidhi vihori kwa wakulima wa zao la mwani wa Mkoa wa Kaskazini Unguja (PICHA NA ABDALLA OMAR).
Wakulima wa mkoa wa Kaskazini Unguja wakiangalia vihori ambavyo walikabidhiwa na WAZIRI wa Kilimo, Maliasili Mifugo na Uvuvi, Mmanga Mjengo Mjawiri
WAZIRI wa Kilimo, Maliasili Mifugo na Uvuvi, Mmanga Mjengo Mjawiri, akizungumza na wakulima wa zao la mwani baada ya kukabidhi vihori, kwa wakulima wa Bweleo (PICHA NA ABDALLA OMAR).
No comments:
Post a Comment