Habari za Punde

Waziri Castico nae ajitosa kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia CCm akiwa ni mgombea wa 32

 Waziri wa kazi, Uwezeshaji, Wanawake na Watoto Moudline Cyrus Castico akisalimiana na Katibu wa Idara ya Oganizeshi ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo wakati alipofika ofisi ya CCM kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM leo
Waziri wa kazi, Uwezeshaji, Wanawake na Watoto Moudline Cyrus Castico akikabidhiwa fomu ya kugombea Urais na Katibu wa Idara ya Oganizeshi ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui leo
Waziri wa kazi, Uwezeshaji, Wanawake na Watoto Moudline Cyrus Castico alipokuwa akizungumza na wanahabri baada ya kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia CCM

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.