Habari za Punde

Waziri Kiongozi mstaafu Shamsi Vuai Nahodha arudisha fomu ya kugombea Urais kupitia CCM leo

 Waziri Kiongozi mstaafu Shamsi Vuai Nahodha akisalimiana na Katibu wa Idara ya Oganizeshi ya CCM Zanzibar Ndg. Galoso Nyimbo wakati akirudisha  fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM leo
Katibu wa Idara ya Oganizeshi ya CCM Zanzibar Ndg. Galoso Nyimbo akipokea na kuzikagua fomu za Waziri Kiongozi mstaafu , Shamsi Vuai Nahodha 
 Waziri Kiongozi mstaafu Shamsi Vuai Nahodha akizungumza na wanahabari baada ya kurudisha fomu za kugombea Urais kupitia CCM leo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.