Habari za Punde

Zantel waanzisha mfumo mpya wa foleni kwenye maduka yake Unguja na Pemba

 MENEJA wa maduka ya Zantel Zanzibar, Mwajuma Hussein Senkanga, wa pili (kiulia) akiwa na Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohammed Khamis Mussa (Baucha) wakiangalia bidhaa, baada ya kuzindua Mfumo mpya wa foleni (Queue System) katika duka la Zantel Vuga, Mfumo utakaorahisisha wateja kukaa foleni wanapofika katika maduka yao kwajili ya kupata huduma katika maduka yake ya Unguja na Pemba.  MENEJA wa maduka ya Zantel Zanzibar, Mwajuma Hussein Senkanga, akizindua Mfumo mpya wa foleni (Queue System), katika duka la Zantel Vuga, mfumo ambao utarahisisha wateja kutokaa foleni wanapofika katika maduka yao kwajili ya kupata huduma katika maduka yake ya Unguja na Pemba (PICHA NA ABDALLA OMAR).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.