Habari za Punde

Michuano ya Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Jangombe Boys na Selemu Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bao 1-1.

Goli La kwanza la Timu ya Selemu likiingia wavuni baada ya kipa wa Timu ya Jangombe Boys kushindwa kuizuia shuti hiyo na kuanduika bao la kwanza kwa Timu ya Selemu, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong, katika mchezo huo Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.