Maafisa wa Bodi ya
Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), (kulia) Meneja Mikopo Kanda
ya Ziwa, Usama Choka na Afisa Mikopo Winfrida Wumbe pamoja na Jonathan
Nkwambi (kushoto) wakizungumza na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari
Wasichana Kibondo iliyopo Mkoani Kigoma, Mary…….. walipofika shuleni hapo
jana alhamisi (Julai 30,2020) kutoa elimu kuhusu mwongozo wa uombaji
mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu.
Afisa
Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Winfrida
Wumbe akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Kibondo
iliyopo Mkoani Kigoma, wakati wa utoaji elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo
wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Mafunzo hayo yalifanyika
Shuleni
Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa
Elimu ya Juu (HESLB) Winfrida Wumbe akizungumza na wanafunzi wa Shule ya
Sekondari Wasichana Kibondo iliyopo Mkoani Kigoma, wakati wa utoaji elimu ya
mafunzo kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Mafunzo
hayo yalifanyika Shuleni
Mwanafunzi wa Kidato cha Sita katika Shule ya
Sekondari Wasichana Kibondo iliyopo Mkoani Kigoma, Mwanakombo Abeid akiuliza
swali wakati wa utoaji elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo kwa
wanafunzi wa elimu ya juu. Mafunzo hayo yalifanyika Shuleni.
Baadhi
ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Mkugwa iliyopo Wilaya ya
Kibondo Mkoani Kigoma wakifuatilia kwa makini elimu ya mafunzo kuhusu
matumizi ya mwongozo wa uombaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu
wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika shuleni hapo jana Alhamisi Julai 30,
2020).
No comments:
Post a Comment