Habari za Punde

Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Chamchagua Hussein Ali Hassan Mwinyi Kupeperusha Bendera ya CCM Uchaguzi Mkuu wa Rais wa Zanzibar Mwaka huo 2020nWa

Mtia nia kugombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi akizungumza na kuomba Kura kwa Wajumbe wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma, kikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli. 
Mtia nia kugombea Urais wa Zanzibar Mhe.Shamsi Vuai Nahodha Mwinyi akizungumza na kuomba Kura kwa Wajumbe wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma, kikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli.  
Mtia nia kugombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed akizungumza na kuomba Kura kwa Wajumbe wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma, kikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli.  
Wajumbe wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakifuatilia maelezo wa Watia nia ya kugombea Urais wa Zanzibar wakati wa kujieleza kabla ya kupigia Kura.Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa  na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, wakiwa katika ukumbi wa White House wakati wa upigaji wa Kura kumchagua Mgombea Urais wa Zanzibar  kupitia CCM. 
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa  na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, akipiga kura yake kumchagua Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM, Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma, akiwa na Wajumbe wa Kikao hicho wakipiga Kura.   
Kijana wa CCM akigawa kura kwa Wajumbe wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakati wa kuaza zoezi la upigaji kura kumchagua Mgombea Urais kupitia CCM, Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Whitye House Jijini Dodoma.
Kijana wa CCM akigawa kura kwa Wajumbe wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakati wa kuaza zoezi la upigaji kura kumchagua Mgombea Urais kupitia CCM, Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Whitye House Jijini Dodoma. 
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa  na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, akipiga kura yake kumchagua Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM, Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma, akiwa na Wajumbe wa Kikao hicho wakipiga Kura.  
Wajumbe wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakipiga Kura kumchagua Mgombea Urais wa Zanzibar, Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma leo.
Wasimamizi wa Uchaguzi wa kumpata Mgombea wa Urais wa Zanzibar wakiaza kuhesabu Kura baada ya kumalizika zoezi hilo, lililofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma leo.Waliosimama kushoto ni watia nia ya kugombea Urais wa Zanzibar.   
Zoezi la kuhesabu Kura likiendelea baada ya kumalizika kwa upigaji wa kura katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa lililofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma leo 10/7/2020.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.