kuwa kuanzia leo Julai 29, 2020 Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam utaitwa
Uwanja wa
Uwanja wa Benjamin Mkapa (Benjamin Mkapa Stadium) ili
kuendelea kumuenzi Rais huyo wa
awamu ya Tatu.
Rais Magufuli ametoa tamko hilo katika hafla ya kuaga mwili wa aliyekuwa
rais wa serikali ya
awamu ya tatu Hayati
Benjamin William Mkapa iliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru
Dar es Salaam ambapo
alisisitiza Mzee Mkapa alikuwa na
mchango mkubwa katika sekta ya
michezo nchini hivyo taifa tunapaswa kumuenzi .
“Mzee Mkapa aliujenga uwanja mkubwa wa michezo na alikua
hapendi vitu viitwe kwa jina
lake,lakini kwakuwa kwa sasa amelala na hawezi kuniadhibu na
kwakua nimepokea meseji
nyingi nimekubali na sasa natamka rasmi uwanja ule uitwe Mkapa
Stadium,”Dkt.Magufuli.
Dkt.Magufuli ameongeza katika Michezo Mzee Mkapa alikuwa anapenda sana
michezo ndio
maana amefanya mambo mengi sana katika sekta hiyo,vile vile
alikua ni Shabiki wa Timu ya
Yanga japo hakuwahi
kuonyesha hadharani hivyo tunapaswa kumkumbuka na kutunza
kumbukumbu hizo.
Hata hivyo Uwanja wa Taifa Dar es Salaam (Mkapa Stadium) ni
miongoni mwa viwanja
vikubwa barani Afrika ambavyo vimekidhi vigezo vyote
vilivyoanishwa na Shirikisho la
Soka Duniani FIFA na una uwezo wa kuingiza mmashabiki takriban
elfu sitini.
Hivi karibuni watu wengi walionyesha nia yao ya kuomba uwanja
huo uitwe jina la
Mzee Mkapa kama njia ya kumuenzi Rais huyo mstaafu ambayo leo
Mhe.Rais ameitimiza nia hiyo.
Pamoja Mheshimiwa Rais Magufuli aliendelea kusisitiza kuwa Mzee
Mkapa katika sekta ya Sanaa
napo ameacha alama
kwani ndiye aliyeanzisha Chama cha Hakimiliki na Hakishiriki (COSOTA)
ambayo kwa sasa ni taasisi rasmi lengo ni kuwasaidia wasanii
kupata haki za kazi zao na
katika sekta ya Habari
ndiye muasisi wa Vitengo vya Habari na Mawasiliano katika wizara.
Naye mmoja wa wananchi na shabiki wa mpira nchini Bw.Athuman
Ugassa amepongeza uamuzi
Mheshimiwa Rais Magufuli wa kuupa uwanja huo jina lake kwani
uwanja huo ni alama ya
mchango wake katika kuendeleza sekta ya michezo nchini.
|
Labels
- .
- `
- 8
- AFYA
- AFYA.
- AJALI
- BIASHARA
- BURUDANI
- DINI
- ELIMU
- FILAMU
- HABARI
- HARUSI
- HOSPITALI
- I
- JAMII
- KATUNI
- Kii
- KILIMO
- KIMATAIFA
- KITAIFA
- Ku
- MAGAZETI
- Mahkamani
- MAISHA
- MAKALA
- MAKALA AFYA.
- MAKALA.
- MATUKIO
- MATUKIO.
- MICHEZO
- MITAANI
- MIUNDOMBINU
- MSAADA
- Ok
- SIASA
- TANGAZO
- TAWA YAWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZA UWEKEZAJI
- TEKNOLOJIA
- UCHUMI
- UTAFITI
- UTALII
- VIDEO
- VIJANA
- WEZI
Tafsiri ya Lugha
Popular Posts
-
Afisa Mwandamizi Masoko na Mawasiliano, kutoka Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, Bw. Rahim Mwanga, akitoa elimu ya fedha kuhusu Uwekezaji un...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Franci...
-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Dini ya Kiislamu, ...
-
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. ...
-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Oth...
-
Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo akikagua Gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu Charles Hi...
-
Mwakilishi wa viti maalum kupitia Watu wenye ulemavu Mhe. Zainab Abdallah Salim amewataka Wafadhili na Watu wenye uwezo kusaidia makundi maa...
UWANJA WA MICHEZO TAIFA WABADILISHWA JINA SASA BENJAMIN WILLIAM MKAPA STADIUM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
BLOGU RAFIKI
-
-
MAWAZIRI WA SADC WAKUTANA KUJADILI USIMAMIZI WA MAAFA - Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. Ummy Nderiananga, ameshiriki mkutano wa dharura wa Kamati ya Mawaziri wanaohusika na Usim...1 hour ago
-
Uchumi : Gavana Tutuba Ahimiza Matumizi zaidi ya Rasilimali za Ndani ya Ukanda wa Afrika Mashariki (EAC) - Benki Kuu katika ukanda wa Afrika Mashariki (EAC) zimehimizwa kuweka kipaumbele katika kutumia rasilimali zao kwa ajili ya maendeleo yao, na kupunguza ut...4 days ago
-
MAHOJIANO YA TAUSI SUEDI NA AMRI NGOYE KUHUSU CSI KUPITIA KWANZA PRODUCTION NCHINI MAREKANI - Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl6 years ago
Marafiki Duniani
Popular Posts
-
Mwili wa Marehemu unatarajiwa kuwasili Zanzibar majira ya mchana kwa Ndege na kuendelea na taratibu za Maziko yatafanyika katika Mtaa wa...
-
The United Republic Of Tanzania National Examination Council of Tanzania Form Four Examination Results 2017/2018 The National E...
-
Makamanda wa JWTZ wakiwa wamebeba mwili wa Marehemu Waziri Kiongozi wa Kwanza wa Zanzibar na Brigedia Jenerali Mstaaf Ramadhani Haji Faki...
-
Na Miza Kona/Rahma Khamis Maelezo-Zanzibar Jumla ya wanafunzi 16,744 wamechaguliwa kuendelea masomo ya kidatu cha tatu kati ya wanafun...
-
Bwana Harusi Lusajo Sajent Mwangambaku (kushoto), akiwa katika pozi na mke wake Neema Stanley Matowe katika hafla yake ya ndoa iliyofa...
-
Mama mjazito akihangaika na hatimaye kupoteza maisha kutokana na mimba za utotoni..Video ipo hapo chini baada ya maelezo mafupi
-
TAARIFA YA MATOKEO YA MITIHANI YA TAIFA YA KIDATO CHA PILI, DARASA LA SITA NA DARASA LA NNE YA MWAKA 2017, JUMATATU TAREHE 29 JANUARI 2018....
-
Madawa na Maji vilivyokabidhiwa na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al-Najem, kwa Wizara ya Afya kwa ajili ya Kambi za K...
No comments:
Post a Comment